Katika kipindi cha miongo miwili iliyopita, kumekuwa na ongezeko kubwa na la kasi la saratani ya koo katika nchi za magharibi, kiasi kwamba wengine wameliita janga. Hii imetokana na ongezeko kubwa ...
Mgonjwa mmoja amepatikana meno bandia yaliokwama kwenye koo lake siku nane baada ya kufanyiwa upasuaji wa tumbo. Mtu huyo wa miaka 72 alilalamika kuwa na tatizo la kumeza chochote na kwamba ...