We continue with the word which start with letter G in kiswahili language. The word “Giza” in Kiswahili translates to “darkness” or “obscurity” in English. It refers to the absence of light, typically ...
Please wait while your request is being verified ...
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii, wamepatiwa mafunzo kuhusu Mfumo wa kidigitali wa PSSSF.
ADDIS ABABA : MATAIFA 55 ya Umoja wa Afrika yatakutana Ijumaa mjini Addis Ababa kwa ajili ya kumchagua mwenyekiti mpya, huku ...
WAZIRI MKUU wa Israel, Benjamin Netanyahu, ametishia kujitoa kwenye makubaliano ya kusitisha mapigano katika ukanda wa Gaza ...
Vazi la high low linakuwa mbele fupi nyuma ndefu.kwenda na wakati ni jambo linalopendwa kufanya mtu kuonekana nadhifu zaidi ...
Dk Ntuli Kapologwe, wizara ya afya, ECSA – HC, uchaguzi, Jumuiya ya Afya, Tanzania, uchaguzi mkuu, Profesa Yoswa Dambisya, ...
JORDAN : MFALME Abdullah II wa Jordan amekataa pendekezo la Marekani la kutaka kuwahamisha Wapalestina, baada ya mazungumzo ...
KAPTULA ni vazi linalovaliwa na wanawake na wanaume juu ya eneo la nyonga yao likizunguka kiuno na kugawanyika ili kufikia ...
Katika kituo cha daladala cha Buza, ambacho hakitumiki ipasavyo licha ya kujengwa na serikali, Chalamila amewataka watendaji ...
JESHI la Polisi Mkoa wa Mtwara linawashikilia watuhumiwa 23 mkoani humo kutokana na tuhuma mbalimbali ikiwemo kujihusisha ...
WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde amesema Serikali inatambua kuwa ili kiwanda cha kusafisha madini ya dhahabu cha ...